Kabla Ya Kumruhusu Mwanaume Aliyeoa Kulala Nawe, Kumbuka

Kabla ya kumruhusu mwanaume aliyeoa kulala nawe, Kumbuka...(Before allowing a Married Man to Sleep with you, Remember ...)


WANAWAKE, KABLA YA KULALA NA MTU ALIYEOA NI LAZIMA UFAHAMU KWAMBA:

1. Kitu anachotaka tu ni kulala na wewe. Anakuja kwako na kurejea nyumbani kwa mke wake.

2. Hataacha mke wake kwa sababu yako. Akimuacha inamaana umevunja ndoa ya mwanamke mwenzako na machozi yake yanalia kwa Mungu.

3. Mara nyingi anakuwa na wengine badala yako.

4. Baada ya kukutumia atakutupa na kutafuta mwingine.
Kabla Ya Kumruhusu Mwanaume Aliyeoa Kulala Nawe, Kumbuka
 Kabla Ya Kumruhusu Mwanaume Aliyeoa Kulala Nawe, Kumbuka

5. Huyu mtu haana deni lako, kwahiyo humdai chochote.

6. Kupata mimba yake hakutamfanya aishi na wewe, ana watoto tayari ambao wako nyumbani na mke wake.

7. Mali yake ni yake na familia yake, wewe anakupatia tu vidogo vidogo.

8. Hutakuwa katika maisha yake. Ukiwa maishani mwake basi wewe ni mvunja ndoa.

Ukiwa mjanja utasikia!!!

Uwe na siku nzuri!

Pokea Yesu leo uende kanisani.

Fuata Apostle Pride Sibiya (Bishop: Glory Ministries) kwa Facebook, YouTube, Twitter, Periscope, WhatsApp, Google+, Instagram, Instaclips, and all social media.
avatar
Bishop Pride Sibiya Online
This Is Bishop Pride Sibiya (www.pridesibiya.com) Official Website and Blog. Pride Sibiya Is An Apostle, Author, Blogger, Speaker, and The Founder and President Of Glory Ministries. Bishop Pride Sibiya
Chat with WhatsApp