Je Kitandani Kwako Ulikuwa Na Nani? (Who Has Been In Your Bed?)

Je kitandani kwako ulikuwa na nani?

Je kitandani kwako ulikuwa na nani? Je unafahamu aina ya mtu uliyekua unalala naye? Mara nyingi huwa tunachukulia nyepesi fikra ya ubadilishanaji wa roho, mpenzi wako anaweza kuwa amelala/ analala na watu wengine.

Inabidi uwaze ni nini unachojifungulia kiroho, labda majini, uchawi, watu wenye mapepo nk. Zaidi ya hapo wewe mwenyewe umebeba nini?

(Who Has Been In Your Bed?)
 (Who Has Been In Your Bed?)

Unaweza kupitana na mateso mengi baada ya kulala na mtu mara moja tu. Na unaanza kuwaza kwa nini mambo hayaendi maishani mwako. Hebu, fanya ukaguzi kwa watu uliolala nao, wanaweza kuwa chanzo cha matatizo yako.

Mara nyingi huwa tunamtafuta mchawi wakati ni wewe uliyefungua milango kupitia kitanda chako. Jihadhari kwa maagano unayoingia kwa sababu ya mapenzi. 1 Wakorindo 6:16.

Receive Jesus Christ today and go to church for spiritual fellowship.

Follow Apostle Pride Sibiya (Bishop: Glory Ministries) on Facebook, YouTube, Twitter, Periscope, WhatsApp, Google+, Instagram, Instaclips, and all social media.

Copyright: Brand Pride Sibiya (tempering with the article without permission of Brand is a criminal offense). The views shared in this article may not necessarily be the same as those of the brand.

(Who Has Been In Your Bed?)
 (Who Has Been In Your Bed?)

English: Who has been in your bed? Do you know the true nature of your sexual partner? We often take lightly the idea of transference of spirits and more often than not, our sexual partner will have slept with many other unruly characters before or even when they cheat. 

So imagine what you’re opening your soul to, marine spirits, witchcraft, divination, demon-possessed people, etc. Even more so iwe wacho wakatakurei, what are you bringing to the table too? 

Just through a mere sexual encounter, you could suffer for a long while. Then you begin to wonder why things aren’t moving in your life. Check your previous bed/sex mates, my dear.

Do you realise sometimes tinotsvaga muroyi asipo yet you will have opened a door on your bed? Beware of the covenants you create nemabasa ako aana bae vasingapere. 1 Corinthians 6:16

avatar
Bishop Pride Sibiya Online
This Is Bishop Pride Sibiya (www.pridesibiya.com) Official Website and Blog. Pride Sibiya Is An Apostle, Author, Blogger, Speaker, and The Founder and President Of Glory Ministries. Bishop Pride Sibiya
Chat with WhatsApp